top of page

Yesu Ninakuhitaji

Yesu nina kuhitaji katika maisha yangu x2

Usiniache Mwokozi, ninavyo kukasirisha

Wewe ndiwe (peke) Bwana wangu x2


Nijalie kuwajua marafiki wa uongo x2

Nizijuwe hila zao, na udanganyifu wao

Yesu Bwana (wangu) niongoze x2


Ninaomba nifariji huzunini na magonjwa x2

Usiniache Mwokozi, katika taabu na kifo

Unishike (Bwana) mkono wangu x2

Mimi pekee sina nguvu za kushinda majaribu x2

Ndipo Bwana nakuita, Bwana wa wokovu wangu

Wewe ndiwe (Bwana) mponya wangu x2

23 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page