top of page

Yesu Mwokozi

A: Yesu Mwokozi, kwa damu yako umetukomboa sisi, twakuabudu. B: Yesu Mwokozi kwa mwili wako umetukomboa sisi, twakuabudu


Ladies: Pana mahali, pazuri sana, Baba akaapo na Bwana Yesu. Men: Nyimbo na ngoma za malaika hushangilia heri daima


Ladies:Hapa ni dhambi, shida na taabu, huko fahari, furaha tele.

Men: Hatustahili kufika huko, tu wakosaji, watu dhaifu.


Ladies: Akaja Yesu atufundishe, awe Mwokozi, atupe nguvu, Men: Alitufia msalabani, kastahimili mateso mengi


All: Alifufuka, kapaa mbinguni katangulia atuongoze.

0 views0 comments

Komentarze

Oceniono na 0 z 5 gwiazdek.
Nie ma jeszcze ocen

Oceń
bottom of page