top of page

Yesu Mwema

Yesu mwema najitolea kwako Kwa leo hii na siku zote

Nafsi yangu na moyo wangu wote

Heri kweli, heri kweli Heri kweli raha ya uwingu x2


Ndani mwangu umekuja daima Kuwa nami ni upendo wako

Ewe mpenzi mwenye utamu mwingi

Ni mapendo, ni mapendo ni mapendo ya moyo wako x2


Nitaweza kukurudishia nini Kwa wema huu na pendo lako

Roho yangu umeifadhilia

Nikupende, nikupende nikupende ni tamaa yangu x2


Weka Rabi katika roho yangu Wema wako na unyenyekevu

Na pendo kuu fadhila na amani

Niongoze, niongoze niongoze katika amani x2

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page