top of page

Yesu Lilinde Kanisa

Yosefu Mtakatifu, lilinde kanisa letu takatifu, liombee lisiangamie kwa dhambi zetu x2 (Simamia (pia) pigania Baba mlinzi wetu mwema, liongoze na ulilinde Yosefu mwenye haki) x2

  1. Kwako twakimbilia Baba na mwombezi wetu, utulinde utusimamie.

  2. Kwa uchaji na kwa moyo wa ibada, twakuomba Yosefu tuombee.

  3. Yesu kakuteua, uwe mlishi wake, heri gani kuitwa Baba yake.

  4. Umewatunza vema, Maria na Yesu, utulinde tusaidie Yosefu.

6 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page