top of page

Yesu Kristu ni Mfalme



Yesu Kristu ni mfalme- Ni mfalme wa wafalme, Ni Bwana wa mabwana Utawala wake si wa dunia hii (Dunia hii) Utawala wake ni wa Mbinguni

  1. Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii (kweli) Hakika angekuwa na jeshi lake la kumlinda

  2. Utawala wake Yesu ungekuwa ni dunia hii (kweli) Hakika angekuwa na serikali ya kuiongoza

  3. tawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii (kweli) Kamwe asingekufa kwa ajili yetu sisi wanadamu

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page