top of page

Yesu Kanikuta Jangwani



1. Yesu kanikuta jangwani, akaniambia, nenda huko Yerusaleme Yesu kanikuta gizani, akasema, kimbilia Yerusaleme

Mimi ni kipofu ni mauti (mimi ni mauti) Mimi ni kipofu sioni (mimi sioni)

(Kulikuwa giza, kukapambazuka, Nikamwona Bwana Bwana wangu) x2


2. Natamani mji ule, Yerusaleme kuna nuru kuna raha Dhambi zangu matendo yangu, ni maovu, tazameni msalabani

Upindo wa nguo (nguo yako safi),Upindo wa nguo (nguo yako nzuri) (Uniguse moyo, moyoni mwangu, Nitaimba sifa sifa zako) x2


3. Tumsifuni Bwana Bwana mwenye na mbingu, twende huko nchi ya mbali ya kanani ndiko tutaishi milele, Twende huko nchi ya mbali, ya Kanaani ndiko tutaishi milele (Fimbo yake Musa ilituokoa, Fimbo yake Musa, ilituongoza (Nchi ile ya Misri (nchi ya farao),Tulimwona Bwana mwenye enzi) ) x2

4 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page