top of page

Yesu Alia Msalabani


  1. Yesu alia msalabani. Asikitika juu ya dhambi zetu Asulubiowa asiyekosa kwamba yeye ni mosaji Ee mwanadamu lipi ambalo linalonipasa kuwatendea Ambalo sikuwatendeeni, hata ikanipasa msalaba

  2. Magonjwa yote aliyaponya, wafu nao aliwafufua Kundi la watu aliwaponya, lipi alilokosa

  3. Watu wa Mungu Bwana alia asikitika juu ya dhambi zenu Asulubiwa asiyekosa kwamba ni mkosaji

  4. Wana wa Mungu, Bwana alia, asema nyinyi mwamsulubisha, Msipobeba misalaba yenu kwani nyinyi m wakosaji

  5. Tazama Bwana akulilia, akuita ndipo akuokoe Tazama haya mapenzi yake Bwana hayana mwisho

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page