top of page

Yesu Akalia

Yesu akalia kwa sauti kubwa, (Akasema), Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu) x2

  1. Alipokwisha kusema hayo, akakata roho Yule akida alipoona hayo, akasema Huyo hakika alikuwa mwana wa Mungu

  2. Na makutano yote ya watu, waloshuhudia Wakafadhaika wakaenda zao, wakiomba Wakapigapiga vifua kuomba toba

  3. Na wote waliojuana naye, waloandamana Wakimfuata toka Galilaya, kwa pamoja, Wakasimama wakitazama mambo hayo.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page