top of page

Ye Taata

Ye Taata, Oyo ye Taata…x2

Ye Taata wange omulungi Omutibwa x2

Ye Taata.

My Father, You are my Father…x2

You are my Lord you are My God

You are my King…x2 my Father.

Ee Baba, wewe ni Baba…x2 wewe ni

Baba, Baba yetu wa mbinguni x2


Kazaliwa maskini kwenye zizi Maria

akamfunika kwa nyasi kwa ‘jili yetu

alishuka kwenye cheo (Ee Baba) asante

sana ewe Yesu wa mbinguni Ee Baba.


Alishikwa, akapigwa, akateswa na mate

akatemewa Kwa uso kwa ‘jili yetu hivyo

vyote alikubali (Ee Baba) kwa ‘jili yetu

alidungwa, ili nipone Ee Baba.


Kafufuka akapaa juu mbinguni akatuma

Roho Mtakatifu kwetu atuwezesha

kusamehe na kumwabudu (Ee Baba

atuwezesha kuwa naye, maishani Ee Baba.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page