top of page

Yatosha sasa mahangaiko haya, yatosha, mapigo ni mengi mno. Yatosha sasa mateso makali haya, yatosha kabisa, yatosha mno.

  1. Ee Mungu tazama chozi langu, sikiliza kilio changu. Narudi kwako mara nyingine, kulilia huruma yako.

  2. Natamani nami nipumzike, Ee Mungu chukua hatua. Kwa nini unanyamaza kimya, naita mpaka nazimia?

  3. Siwezi, siwezi ee Mungu; Mizigo yanielemea.

  4. Upendo wako Mungu, nitautumainia bila kuchoka.

  5. Huruma yako Mungu, ni huruma ya milele. Huruma yako Mungu, nitakufa nikiitumainia.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page