top of page

Yatangazeni Mliyoyasikia

Nendeni na amani, misa imekwisha Nendeni mkayatangazeni yote mliyoyasikia Katika masomo injili na mahubiri. Tazama Kristu Bwana yupo nasi daima- Daima mpaka ukamilifu wa dahari


Neema na baraka mlizozipata Zikae nanyi siku zote


Ishi kwa upendo amani umoja matunda ya Ekaristia


Na yahubirini mliyoyasikia kwa matendo na miendo yenu

4 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page