top of page

Wastahili Bwana

Wastahili Bwana, wastahili Bwana,

ulikufa msalabani niokolewe

wastahili Bwana wastahili Bwana wastahili Bwana

Ulibeba mizigo yangu sasa ni huru wastahili Bwana


Uliacha utukufu wako, ukaishi kati yetu

kwa mapendo ulipatwa na simanzi, ulinifiya wastahili Yesu!


Uliwekwa kaburini Bwana, ukafufuka

wewe Bwana wangu ulipaa juu mbinguni na watawala, nakusifu yesu!

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page