top of page

Wangu wa Maisha


Ondoka ewe Bwana harusi, tembea wakuone, Ondoka ewe bibi harusi, tembea kwa maringo Njoo kwangu nikueleze, neno moja toka moyoni mwangu (Nimekuchagua wewe, wewe wangu, wa maisha, tangu leo, mimi na wewe ni kitu kimoja) x2

  1. Sikiliza nyimbo nzuri nderemo ngoma vinanda (Haya yote ni kwa ajili yangu, mimi na wewe) x2

  2. Angalia vazi langu lilivyopambwa vizuri (Watu wanatushangilia, siku ya leo) x2

  3. Nimekuja kwako leo, uthibitishe hakika, (Mimi kweli ninakupenda, wewe ni wangu) x2

  4. Tumeacha wale wote tumejifunga pamoja (Mimi na wewe hatutengani, milele yote) x2

5 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page