top of page

(Ufalme wa Mungu utafanana na nao wanawali kumi waliokwenda kumlaki bwana Harusi harusi watano wao walikuwa pumbavu watano (wao walikuwa warevu) x2

Wale wapumbavu walitwaa taa zao ,walitwaa bila mafuta wala vyombo vya mafuta ,wale werevu walitwaa taa na mafuta (pamoja na vyombo vyao,na vyombo vya mafuta) x2


Ilipofika usiku wa manane ,walinzi wakalala naye bwana arusi ,bwana arusi akaafika twende kumlaki (Haya twende kumlaki ,njoo twende kumlaki) x2


Wale werevu walitwaa taa zao , wakaenda kumlaki yule bwana arusi , nao wapumbavu walibaki nje wakilia (Heri zote tuwe macho kesheni mkiomba) x2

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page