top of page

Walinizunguka Kama Nyuki


Walinizunguka kama nyuki, (lakini) Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani Walinizunguka kama nyuki, (adui) Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani

  1. Mataifa yote yalinizunguka mimi, kweli , walinizungunka mimi Kwa jina la bwana niliwapatilia mbali Wote walionisumbua

  2. Kwani Bwana yuko upande wangu mimi anisaidia, sitaogopa Nanitawaona wanaonichukia hakika nitawaona wameshindwa

  3. Heri yetu sote kumkimbila Bwana Mungu kuliko wanadamu Heri yetu sote kumkimbila Bwana kuliko kutumanina wakuu

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page