top of page

Wakati ni Sasa


Kama kuna njema lolote waweza tenda, tenda Leo bila kuhesabu yalio pita 

Wakati ni sasa sio Jana na wala si Kesho Jana imekwisha pita hairudi tena, wakati ni sasa sio jana na wala si Kesho Kesho yaja na ina mambo yake na si yetu ni ya mungu

  1. Iwe Shinda au raha havitadumu kwani kila Jambo linakuja na kwenda

  2. Tupatapo nafasi ya kumsifu Bwana tusifu kweli kweli maana hakika

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page