top of page

Waipeleka Roho Yako

Waipeleka Roho Yako ee Bwana nawe waufanya upya uso wa nchi waipeleka Roho Yako ee Bwana nawe waufanya upya uso wa nchi


Ee nafsi yangu umhimidi Bwana Wewe Bwana Mungu wangu umejifanya mkuu sana Ee Bwana jinsi yalivyo mengi matendo yako Dunia imejaa mali zako


Waiondoa pumzi yao wanakufa

Na kuyarudia mavumbi yao Waipeleka Roho yako wanaumbwa Nawe waufanya upya uso wa nchi


Utukufu wa Bwana na udumu milele Bwana na ayafurahie matendo yake Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake Mimi nitamfurahia Bwana

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page