top of page

Viuzeni Mlivyo Navyo

Viuzeni mlivyo navyo mkavitoe sadaka, kwa kuwa mnajiwekea hazina

yenu mbinguni (ndugu) kwa kuwa mnajiwekea mbinguni.

  1. Rudisheni kwake Bwana ni mali yake viuzeni.

  2. Onyesheni moyo safi kwa ukarimu viuzeni.

  3. Msidhani mwapoteza mlivyo navyo viuzeni.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page