top of page

Viuzeni Mlivyo Navyo


Viuzeni mlivyonavyo mkavitoe sadaka, kwakuwa mnajiwekea hazina yenu Mbinguni( ndugu) kwakuwa mnajiwekea Mbinguni

1. Rudisheni kwake Bwana ni mali yake viuzeni

2. Onyesheni moyo safi wa ukarimu viuzeni

3. Msidhani mnapoteza mlivyonavyo viuzeni

4. Mkitoa mtalipwa huko Mbinguni viuzeni

5. Yeye Mungu anaona mioyo yetu viuzeni.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page