top of page

Utusamehe Makosa Mass


BWANA UTUHURUMIE

Bass: Bwana , Bwana, Bwana utuhurumie ee Bwana: All: Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2 B/T: Kristu, Kristu, utuhurumie x2 (utuhurumie) S/A: Kristu, utuhurumie x2 (utuhurumie) Bass: Bwana , Bwana, Bwana utuhurumie ee Bwana: All: Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2 (Ee Bwana) Bwana utuhurumie.


UTUKUFU


Utukufu kwa Mungu juu, utukufu kwa Mungu juu, (na amani (amani kwa watu) na anamai ( amani kwa watu) dunianai kwa watu wenye mapenzi mema) x2.


  1. Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu, tunakutukuza, tuna (twa) kushukuru kwa ajili ya utukufu, ya utukufu wako mkuu, Ee Bwana Mungu Mfalme wa mbinguni Mungu Baba Mwenyezi.

  2. EeBwana Yesu Kristu Mwana wa pekee, Ee Bwana Mungu Mwana Kondoo wa Mungu, Mwana wa Baba, Mwana wa Baba.

  3. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, utuhurumie, utuhurumie, mwenye kuondoa dhambi za dunia pokea ombi (ombi) letu, Mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie.

  4. Kwa kuwa ndiwe uliye Peke yako, Peke Mtakatifu, Peke yako Bwana, Peke yako Mkuu Yesu Kristu, Peke yako Mkuu Yesu Kristu (Kristu). Pamoja na Roho Mtakatifu katika utukufu wa Mungu Baba Amina.



MTAKATIFU

Bass: Mtakatifu, Mtakatifu Bwana. All: Mtakatifu, Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Bass: Mbingu na nchi zimejaa All: Mbingu na nchi zimejaa utukufu wako. Hosana, Hosana, Hosana, Hosana,Hosana,Hosana juu mbinguni x2 Bass: Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana All: Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana



MWANAKONDOO

Mwanakondoo, wa Mungu uondoaye dhambi, dhambi za dunia ( utuhurumie x2)


3RD VERSE

Sop: Utujalie amani, amani, amani, utujalie amani.

Alto: Utujalie amani, amani, utujalie amani, amani, utujalie amani.

Ten: Utujalie amani, tujalie, utujalie amani, tujalie amani.

Bass: Utujalie amani, utujalie amani, amani, utujalie amani, tujalie amani, tujalie

amani.

1 view0 comments

תגובות

דירוג של 0 מתוך 5 כוכבים
אין עדיין דירוגים

הוספת דירוג
bottom of page