top of page

Utukuzwe Ewe Baba

1. Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe - aleluya Kwani Yesu mfufuka ametualika - aleluya

Utukuzwe, Utukuzwe Baba Muumba ulimwengu Aleluya aa

2. Tumepokea mkate mazao ya mashamba, ndio alama kwetu ya wema wako mkuu

4. Zawadi ya divai kutoka mizabibu - ndio alama kwetu ya wema wako mkuu -

5. Ni tunda la bidii ya mkono na ya moyo-‘jalie iwe kwetu kinywaji chake roho –

6. Sifa kwako ee Mungu kwa kutuonyesha mkate – shukrani kwako Baba kwa kutulisha sisi -

7. Utukuzwe ee Mungu uliyetuchagua – tuwe taifa lako la kukutumikia –

8. Kwa pendo na fadhili umetufurahisha – ukatufikisha kwa sherehe yetu leo –

9. Siku ya leo iwe kwa heshima na sifa - na utukufu wako na kwa mafia yetu –

14 views1 comment

1 Comment

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
Joseph Mungai
15 hours ago

Please add the missing music scores. This is really good work

Like
bottom of page