top of page

Utukufu wa Msalaba

Kwa ishara ya msalaba tuokoe x2

1. Utukukfu wa msalaba twaadhimu, wa msalaba wake Yesu, ulio uzima na fahari yetu,

2. Utukufu wa msalaba twaadhimu. ju-u yake Bwana Yesu, ametukomboa kwa kumwaga damu,

3. Utukufu wa msalaba twaadhimu, ju-u yake mti huo, Yesu alishinda enzi ya shetani

4. Utukufu wa msalaba twaadhimu, chombo cha mateso mengi, kageuka chombo cha ushindi mkuu,

14 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page