top of page

Utukufu- Ulanda



UTUKUFU – (ULANDA)

Utukufu kwa Mungu utukufu juu mbinguni, na amani iwe kote duniani (Kwa watu wote wenye mapenzi mema)x2

Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu tunakutukuza x2

  1. Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako mkuu ee Bwana. (Ni Mungu ndiwe Mfalme wa mbinguni) x2

  2. Ee Bwana Mwenyezi Bwana Yesu Kristu, Mwana wa pekee ee Mungu Mwana (Kondoo wa Mungu Mwana wake Baba) x2.

  3. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, utuhurumie tuhurumie. (Pokea Bwana maombi yetu) x2.

  4. Mwenye kuketikuume kwa Baba, utuhurumie kwa kuwa ndiwe. (Pekee yako mkuu ni Mtakatifu) x2.

  5. Pekee yako Bwana pekee yako mkuu, Ewe Yesu Kristu pamoja naye (Roho Mtakatifumilele yote) x2.

5 views0 comments

Yorumlar

5 üzerinden 0 yıldız
Henüz hiç puanlama yok

Puanlama ekleyin
bottom of page