top of page

Utuambie Maria

Utuambie Maria

Umeona nini njiani?

Leo nimeona kaburi wazi Bwana Yesu amefufuka ( ni kweli ) twimbe wote Aleluya x2

1. Nendeni mkamwambie Petro kuwa Bwana Yesu kweli amfufuka

2. Nendeni mkamwambie Toma kuwa Bwana Yesu kweli amefufuka

3. Nendeni mkawambie mitume kuwa Bwana Yesu kweli amefufuka

4. Ni furaha kubwa duniani kuwa Bwana Yesu kweli amefufuka

4 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page