top of page

Usifiwe Utatu Mtakatifu

Usifiwe Utatu Mtakatifu na umoja usiogawanyika

  1. Usifiwe Utatu Mtakatifu/ na umoja usiogawanyika.

  2. Sisi sote tutautukuza/ kwa sababu ametufanyizia huruma yake.

  3. Ee Bwana Mungu wetu / jina lako ni la ajabu popote duniani.

  4. Nikiziangalia mbingu zako / kazi ya vidole vyako.

  5. Mtu ni kitu gani hata umkumbuke / na binadamu hata umwangalie?

  6. Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu / umemvika taji la utukufu na heshima.

  7. Atukuzwe Baba na Mwana / na Roho Mtakatifu.

21 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page