top of page

Upokee Sadaka

Upokee - Ee Baba,

Upokee - sadaka,

Upokee- mali yako tunayokutolea x2

  1. Mkate na divai, mwili na damu yako, kwa heshima kuu sadaka tumtolee.

  2. Mazao ya mashamba, kazi ya mikono yetu, Baba pokea vipaji vya wanao.

  3. Fedha za mifukoni, zote ni mali yako, uvipokee vipaji vya wanao.

  4. Na nyoyo zetu Baba, zote ni mali yako, kwa heshima kuu sadaka tumtolee.

  5. Furaha na uchungu, vyote ni mali yako, Baba pokea vipaji vya wanao.

4 views0 comments

댓글

별점 5점 중 0점을 주었습니다.
등록된 평점 없음

평점 추가
bottom of page