top of page

Uninyunyizie Maji

Uninyunyizie maji Bwana nitakase (Bwana)x2

Ee Bwana wangu ,Bwana wangu, nijalie uzima mpya kwa maji haya nitakase.

1. Maji ya ubatizo ,-yaoshe dhambi zangu zotex2

2. Nguo yangu nyeupe –Ni ishara ya moyo wangu x2

3. Nipe mwanga huu- Nitembee katika nuru.x2

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page