top of page

(Umeniita Bwana nipokee) x2 (nimeitika wito niwe mtumishi wako milele x2)

  1. Umeniita Bwana kufanya kazi katika shamba lako: umeniongoza niwe mtumishi wako mwaminifu

  2. Ulisema ukitaka kunifuata ukubali kuacha yote; nami nimekubali wito wako

  3. Bila wewe mimi siwezi kitu: neno lako Bwana laniongoza

7 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page