top of page

Uje Roho Mtakatifu



Uje Roho Mtakatifu njoo (njoo) Uziendee roho za waumini x2 (Wote) Uwajalie mapendo yako alleluia (Kweli) Uje Roho Mtakatifu (kweli) uje mfariji x2


Roho ya Bwana imeujaza ulimwengu Nayo inayoviunganisha viumbe vyote hujua maana kila sauti alleluia


Neno la Bwana hakika limeshaaminiwa Katika mioyo yetu sisi waamini na roho mtakatifu tuliopewa alleluia


Roho yule aliyewashukia mitume Waliokuwa wamekusanyika pamoja nasi tutajazwa na Roho kweli alleluia


Mungu Mwenyezi alituumba sisi sote na Mungu Mwana akatukomboa kwa damu na Mungu Roho anatulinda sisi siku zote

6 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page