top of page

Uipokee


Uipokee sadaka, Ee Bwana Mungu tusikie, Bwana uipokee kwa wema, Ee Bwana Munguu wetu x2

1. Twakutolea sadaka ya ibada yetu, ikupendeza zitupatie wokovu. 2. Ee Bwana usikiliza sala zetu, tunazokutolea Bwana Mungu wetu. 3. Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii, natupate maondoleo ya dhambi zetu. 4. Ni nani aliye Mungu ila wewe Bwana, na utukuzwe Mungu wa wokovu wetu

8 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page