top of page

Ufalme wa Mungu

Ufalme wa Mungu umekuwa kama yule Aliyewaita watumwa wake Akampa moja talanta tano na mwingine talanta mbili na wa mwisho talanta


Talanta yako ndugu yangu uitumie kwa wote x2


Usipoitumikia, utakuja kuangamia Yule wa kwanza akaongeza talanta tano na wa pili akaongeza ingine mbili, aliyepokea talanta moja alimjia Bwana wake na ile ile talanta


Talanta ya Bwana ndugu yangu talanta ya Mungu uliyopewa uifanyie kazi, usiifunike talanta yako uifiche mwisho utakuja kuangamia

1 view0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page