top of page

U Mwema Baba

U mwema Baba umwema, u mwema Baba umwema x2


  1. Ulifungua maji ya bahari ya shamu, wanao wakapita katika nchi kavu.

  2. Ulivunja ukuta wa mji wa Yeriko, wanao waisraeli wakapata ushindi.

  3. Ee Baba waokoa, ee baba unaponya, ni wewe wainua hakuna kama wewe.

  4. Kwa kifo chake Yesu tumepata wokovu, kwa damu yake

8 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page