top of page

U Msaidizi Wakati Wa Raha

U msaidizi wakati wa raha, u msaidizi wakati wa shida x 2.

1. Ee Bwana / toka vilindini / nimekulilia / Bwana / usikie / sauti yangu.

2. Masikio / yako / yaielekee /yaielekee / sauti / ya ombi langu.

3. Ee Bwana / ikiwa utaku-/ mbuka maovu / Ee Bwana / ni nani / atakayesimama?

4. Walakini huruma / hupatikana / kwako, ee Bwana Upate / kutumukiwa / kwa uchaji.

5. Bwana atakuwa / ngome kwake / aliyeonewa / naam / ngome / kwa nyakati za shida.

6. Nao wajuao / jina lako / wakutamani wewe / maana wewe, Bwana / hukuwaacha / wakutafutao.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page