top of page

Twimbie Mungu

Twimbie Mungu uu Alleluia

Twimbie Mungu Hossana


Twakushukuru Twakuheshimu -

Twakuabudu na kukutukuza -


Twakushukuru Mwenye utukufu -

Mungu Baba wetu -


E Bwana Yesu mwana wa pekee -

Uliye mwana Kondoo wa Mungu -


Mwenye kufuta dhambi za dunia -

Tuhurumie utusikie -

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page