top of page

Twimbe Kwa Shangwe na Furaha

Twimbe kwa shangwe na furaha x2, Bwana ametufanyia makuu.

  1. Tuingie kwake Muumba wetu, tuingie kwake kwa shukrani, Bwana ametufanyia makuu.

  2. Yeye ndiye Mungu wa miungu, Yeye ndiye Bwana wa mabwana, Bwana ametufanyia makuu.

  3. Bwana ni Mfalme wa wafalme, Yeye ndiye Bwana wa viumbe, Bwana ametufanyia makuu.

  4. Ametenda mambo ya ajabu, aliye gizani hatajua, Bwana ametufanyia makuu.

28 views0 comments

留言

評等為 0(最高為 5 顆星)。
暫無評等

新增評等
bottom of page