top of page

Twendeni Wote

Twendeni wote x2,

tumwabudu Bwana (kwa furaha), twendeni wote x2

tumwabudu Bwana


1. Bwana ni mtawala, amevaa utukufu-


2. Mbingu zifurahi, dunia ishangilie-


3. Mashuhuda yake yanastahili imani-


4. Anatutawala kwa haki na uamini


5. Tumpigie shangwe mwamba wa wokovu wetu-


6. Njoni tumsujudu yeye aliyetuumba-


7. Kwa nyimbo za sifa tujongee uso wake-


8. Enyi waadili, tukuzeni jina lake-

12 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page