top of page

Twendeni Wote

Twendeni wote, twendeni wote, tumwabudu Bwana ( kwa furaha) x2

  1. Bwana ni mtawala, amevaa utukufu -

  2. Mbingu zifurahi, dunia ishangilie –

  3. Mashuhuda yake, yanastahili imani –

  4. Anatutawala kwa haki na uamini –

  5. Tumpigie shangwe mwamba wa wokovu wetu –

  6. Njoni tumsujudu yeyé aliyetuumba

  7. Kwa nyimbo za sifa tujongee uso wake

  8. Enyi waadili, tukuzeni jina lake -

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page