top of page

Twendeni Mezani


Twendeni mezani tukale chakula, tumeandaliwa chakula cha mbingu x2


  1. Mwili wake Bwana chakula cha mbingu- tumeandaliwa chakula cha mbingu

  2. Damu yake Bwana kinywaji cha mbingu- tumeandaliwa chakula cha mbingu

  3. Kila aulaye apata uzima- tumeandaliwa chakula cha mbingu

  4. Tuulapo mwili twapata uzima- tumeandaliwa chakula cha mbingu

43 views1 comment

1 Comment

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
JUDE MAIYO
7 days ago
Rated 5 out of 5 stars.

Kudos

Like
bottom of page