top of page

Twendeni Kwa Bwana

Twendeni kwa Bwana x 2. kwa vigelegele

Twendeni kwa Bwana kwa shangwe na vigelegele x 2.

  1. Bwana atuita kwa nyunba ya sala.

  2. Bwana ni mtawala amevaa utukufu.

  3. Tumpe shangwe mwamba wa wokovu wetu.

  4. Mbingu zifurahi dunia ishangilie

  5. Mashuhuda yake yanastahili imani.

  6. Anatawala kwa haki na uaminifu

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page