top of page

Twende wote Tukatoe Sadaka


(Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana, twendeni Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana) x2 (Twende, twende tukatoe *2 Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana) x2

  1. Tukatoe mkate, kiini cha ngano- Twende tukatoe sadaka kwa Bwana

  2. Tukatoe divai tunda la mzabibu- Twende tukatoe sadaka kwa Bwana

  3. Tukatoe mazao ya mashamba yetu- Twende tukatoe sadaka kwa Bwana

  4. Nayo maisha yetu anayatakasa- Twende tukatoe sadaka kwa Bwana

  5. Navyo tulivyo navyo ndiye atupaye- Twende tukatoe sadaka kwa Bwana

31 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page