top of page

Twende Tuhubiri neno

Twende tuhubiri neno lake Bwana duniani kote x2.

(Neno) neno lake Bwana, (neno) ni neno la Mungu,

(neno) lidumu duniani, (neno), lidumu milele x2

2. Lina leta mwanga pia na Baraka – duniani kote x2.

3. Njoni kina mama njoni kina Baba – tusikize neno x2.

4. Njoni na mapadri njoni na masista – tusikize neno x2

5. Njoni na vijana njoni na wazee – tusikize neno x2.

6. Njoni watu wote wakubwa kwa wadogo – tusikize neno x2.

4 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page