top of page

Twende Mezani kwa Bwana

Twende mezani kwa Bwana tukale chakula, atualika Bwana sisi twende mezani pake tukale chakula x2

Twende mezani kwa Bwana, tukale chakula cha Bwana, atualika Bwana, sisi twende mezani, tukale chakula.x2

  1. Bwana asema chakula nitakachowapa ni mwili wangu, kuleni mpate uzima milele

  2. Bwana asema, kinywaji nitakachowapa ni damu yangu, kunyweni mpate uzima milele.

  3. Bwana asema, alaye huu mwili wangu na damu yangu, anao kweli uzima milele.

  4. Bwana asema, mwenye kuamini nisemayo ana uzima, kuleni mpate uzima milele.

  5. Bwana asema, kuleni pasi wasi wasi chakula hiki, mkila mpate uzima milele.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page