top of page

Twawatakia Krismas Njema

Twawatakia Krismas njema Twawatakia Krismas njema Twawatakia Krismas njema Na heri ya mwaka mpya.

Twawaletea habari njema, wewe na ndugu zako Twawatakia Krismas njema na heri ya mwaka mpya


Amani itawale Amani itawale Amani itawale Katika nchi yetu


Sote twaipenda amani Sote twaipenda amani Sote twaipenda amani Tuombee amani


Watu wote wa nchi yetu Watu wote wewe yule Watu wote ulimwenguni Tuombee amani

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page