top of page

Twaleta Kwa Moyo



Twaleta kwa moyo, moyo mkunjufu twaomba Baraka twaomba uzima x2

  1. Baba pokea vyote x2 twavileta kwako, twajitolea kwako x2 twaja mbele zako (Baba)

  2. Baba pokea mkate x2 mazao ya ngano, Pokea na divai x2 tunda la mzabibu (Baba)

  3. Pokea fedha zete x2 ni sadaka zetu, pokea mali zetu x2 tuliojaliwa (Baba)

  4. Mazao ya mashamba x2 twaleta pokea, mifugo yetu yote x2 twaleta pokea (Baba)

  5. Pokea nafsi zetu x2 twazileta kwako pokea nyoyo zetu x2 Baba tubariki (Baba)

34 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page