top of page

Twakushukuru

Twakushukuru, U mwema sana, Yesu asante

Kwa kutulisha sisi Yesu Asante

Kwa kutunywesha sisi

Kwa kujiunga nasi

Kwa kutuunganisha

Kwa mwili wako bora

Kwa damu yako bora

Kwa kuja ndani yetu

Kwa kukaa na sisi

Kwa mafundisha yako

Kwa mfano wako bora

Kwa m-salaba wako

Kwa ufufuko wako

Kwa sakramenti zako

Kwa uchungu wako

Kwa maombezi yako

Kwa ukombozi wako

Kwa kujifanya m-tu

Kwa kutupenda sisi

Kwa kutuvuta kwako

Kwa mema yako yote

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page