top of page

Twakukimbilia Maria


  1. Twakukimbilia Maria, mama Bikira mwenye huruma Tutie nguvu ya safari, tufike kwa mwanao Yesu Kristu Angaza njia Mama Maria, Tufike makao ya uzima Giza limeyafunika macho Mama Maria Mama Maria, twapotea, Tunahitaji msaada wako Mama Maria Mama Maria, tuone njia

  2. Safari ngumu Maria, shetani mwovu atusumbua Hatua ni nzito Maria, miguu yetu imelegea

  3. Utupe nguvu Maria, ili tusije vunjika moyo Tuwe shupavu na imara, katika safari hii ya roho

  4. Utuombee kwa mwanao, tupate nguvu kumshinda shetani Tujikane tujute dhambi, tuweze kufika kwake mbinguni

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page