top of page

Tushangilie Amezaliwa

Katika mji wa Daudi, malaika ametangaza Kwamba kweli amezaliwa kwetu Emmanueli Yaani Mungu pamoja nasi Na tushangilie, tushangilie na tushangilie, amezaliwa x2 Tushangilie amezaliwa, amekuja leo kutuokoa x2


Usiku huo wa kuzaliwa kwake, Wachungaji walipashwa habari Ya kuzaliwa kwake mwenye utukufu Yaani Mungu pamoja

Shangwe kote ulimwenguni Shangwe leo, Hosanna Shangwe kote ulimwenguni Emmanueli amezaliwa


Ulimwenguni kupambazuka leo Kwani nuru imewajia wote Wale wanyonge hao wanaojiweza Basi mbona ubaki gizani? Na tushangilie tushangilie Tushangilie amezaliwa x2

8 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page