top of page

Tupeleke Zawadi



Tupeleleke zawadi zetu eeh tupeleke zawadi kwa Bwana twende tupeleke zote Bwana upokee na kuzibariki x2


  1. i) Mkate divai na twazileta kwako, ii) Kiini cha ngano na tunda la mizabibu

  2. i) Fedha za mifukoni twaja nazo Bwana, ii) Ni vipaji toka kwa jasho letu wenyewe

  3. i) Nafaka na mifugo, twaja nayo Bwana, ii) Ni mazao ya shamba uliyotujalia

  4. i) Vyote tulivyonavyo twaja navyo Bwana, ii) Tumepata kwa ukarimu wa-ko kwetu

10 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page