top of page

Tupe Amani

Mungu mtukufu Aliyeumba Pepo kuvuma Na radi kali;

Toa neema unapotawala, Tupe amni, Bwana wa wema.


Mungu wa neema, Nchi imeacha Amri tukufu Na Neno

Lako; Hasira zoko Zitaharibu, Tupe amani, Bwana wa wema.


Mwumbaji wa haki, Watu wabaya Wamedharau Utukufu

Wako; Lakini wema wako utadumu; Endesha wema Bwana wa wema.


Tunakutolea Ibada safi Kwa ajili ya Wokovu wako;

Hivi tunaziimba sifa zako; Wako uwezo na utukufu.


3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page