top of page

Tupalize Sauti

Tupalize sauti zetu twimbe kwa furaha, kama vile watu wote walivyomwimbia, Rabbi Yesu alipoingia Yerusalemu x2

Hossana, hosanna, hosanna, ndiwe utakaye miliki nyumba ya Daudi x2


Bass: Mbarikiwa ni mwenye kuja , All: Kwa jina la Bwana x2 Hossana, hosanna, hosanna, ndiwe utakaye miliki nyumba ya Daudi x2


(Nguo zao) kazitandika (huko njiani) Ndipo Yesu Mfalme Mtukufu apite x2

(Hata wengine) wakayakata matawi wakayatandika (huko njiani) ndipo Yesu Mfalme Mtukufu apite x2

Hossana, hosanna, hosanna, ndiwe utakaye miliki nyumba ya Daudi x2


Ajabu kuu kaonekana huko Yerusalem, Rabbi Yesu akapanda juu ya mwana punda, kwa shangwe kuu Yesu kaingia Yerusalemu x2

Hossana, hossana, hosanna, ndiwe utakaye miliki nyumba ya Daudi x2


Nasi sote tujitakase kumngoja Mwokozi, arudipo tuwe safi kuingia naye huko mbinguni ndiko Yerusalem ya milele x2

Hossana, hosanna,hosanna, ndiwe utakaye miliki nyumba ya Daudi x2

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page